Friday, March 30, 2012

Do not miss Diamond Jubilee leo ijumaa, Jumamosi na Jumapili hii... kiingilio Bure... kila bibi harusi na bwana harusi au mdau wa harusi pitia uone vitu mbalimbali vya harusi vya kila aina...kuanzia mahotel, cards, dresses, wapiga picha etc

Banda letu la Wedding Bells limetengenezwa na kupambwa vizuriiiiii na Dada Monica.. aka Special occasions... 

 wapambaji wa kistaaraabu na keki tamu zaidi na za kistaarabu zaidi in Dar

baadhi ya kazi zao ni pamoja na Melissa and Harris Wedding- Keki na mapambo: Venue Moven Pick




Martha Nnko and Joseph Wedding



Gladys Wedding- cake


Gladys wedding ilipambwa na Sophy nitawawekea aina zake na mapambo yake soon...pia ni wedding planner




Stella and Eliud's Cake

Wanapatikana mjini NSSF building opposite CBE pia branch yao nyingine Kimweri Avenue Msasani kama unaelekea CCBRT
Wapigie Simu -Special Occassion's namba 0754 404 733